KMC FC KUWAKABILI RUVU SHOOTING KESHO KATIKA UWANJA WA UHURU

KIKOSI cha KMC FC kipo tayari katika mpambano wa kesho dhidi ya Ruvu Shooting na kwamba maandalizi yamekamilika kwa asilimia kubwa hivyo mashabiki na wapenzi wajitokeze kwa wingi ili kushuhudia mtanange huo wenye mvuto kutoka kwa wana Kino Boys. KMC FC kesho itakuwa katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kwenye mchezo wa Ligi